Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Sharifa Suleiman ameshinda nafasi ya uenyekiti wa ...
Haikupita kila nusu saa bila kushuhudiwa ugomvi wa wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chadema ...
Wadau wa masuala ya kodi mkoani Shinyanga wameishauri Serikali kuondoa utitiri wa kodi kwenye biashara na taasisi ili ...
Licha ya maendeleo ya teknolojia yaliyosababisha watumiaji wengi kuhamia kwenye televisheni za satelaiti (Satellite TV), ...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Arusha limeopoa mwili wa Mbaruku Mussa (41), mkazi wa kata ya Olmoti jijini Arusha, ...
Asha Mayenga (62), alitoweka nyumbani kwake tangu Januari 13, 2025 kisha mwili wake kupatikana ukiwa umefukiwa kwenye ...
Watumishi wa Mahakama nchini wametakiwa kuongeza imani kwa wananchi kwa kusimamia utaoji haki ulio sawa ili wananchi watumie ...
Dar es Salaam. Wakati mchakato wa kuhesabu kura kuwapata viongozi wapya wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) ukiendelea ...
Simba inaendelea kujifua kwa ajili ya pambano la mwisho la Kundi A la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ya ...
Siha. Mkuu wa Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, Dk Christopher Timbuka amesema mpaka Januari 15, mwaka huu jumla ya ...
Mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma imepambwa kwa bendera za CCM na picha za mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan.
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali, akiwemo Dk Grace Magembe ambaye ameteuliwa kuwa ...